Nyerere Alikemea Suala la Ukabila

Nyerere Alikemea Suala la Ukabila

Suala la ukabila ni jambo nyeti ambalo nyerere aligusia katika hotuba nyingi alizowasilisha. Nyerere alikemea suala la ukabila kila wakati alipopata nafasi ya kuzungumza na hakutaka kabisa kuwe na maswali kama wewe ni kabila gani? Ni katika hilo alifanikiwa kwa kiasi...